
changamoto zimeanza kunikabili haswa baada ya rafiki zangu wa karibu tulio cheza wote utotoni kuamua kuachana na ukapela,hii imenishtua nakunifanya kuanza kupanga mikakati na mitego mbalimbali ili na mimi nikitoka south africa2010 kwenye zile fainali niweze kujimuvuzishia, wadau nitaitaji michango yenu musinitose
Kumbe wewe bado?
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteasante kwa kunitembelea
ReplyDeleteThanks for writing this.
ReplyDeleteHEEE 2010 MBALI KOTE HUKO??
ReplyDelete