MAHESABU BADO YANANISHINDA APO JUU KIDOGO NAANZA KUPATA PICHA, TUENDELEE KIPENGELE CHA PILI, NAKUMBUKA MWALIMU WANGU WA MSINGI MAMA MBIYALU ALINISISITIZA SANA KWAMBA KWENYE MAHESABU SOLUTION NDIO YENYE MAKSI NYINGI SASA UYU JAMAA KAONA AFAFANUE KIMAHESABU INAKUWAJE? AJATAKA KUTOA JIBU KWAMBA WOMAN =PROBLEM. TAFAKURI!!!!NA KAMA UNAKUBALIANA NA HILO APO JUU ENDELEA KUKOKOTOA NA HILI APA
Haya kaka nimekusoma sana.
ReplyDeleteumenifurahisha kaka.lakini mimi nafikiri woman=number of ribs of a man-1,hebu nichambulie na hiyo kaka
ReplyDelete