Thursday, October 30, 2014
Tanzia nzito katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Agustino Cha Tabora (Archbishop Mihayo University College of Tabora-AMUCTA). Hayati (Happiness) aliyekuwa akisomea kozi Uhusiano wa Umma na Masoko katika mwaka wa Tatu (3) amekumbwa na umauti leo hii asubuhi katika hospitali ya Mirambo-Tabora. Hayati alikuwa anasumbuliwa na Typhoid pamoja na sickel cell. Imethibitishwa na moja ya mhadhiri wa chuo hicho alipoongea na mtandao huu kwa njia ya simu.
Mtandao huu utaendelea kukupa taarifa zote za msiba huu.
PIA TUNAUNGANA NA YEYOTE ALIYEGUSWA NA MSIBA HUU KATIKA MAOMBOLEZO.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI
Subscribe to:
Posts (Atom)