changamoto zimeanza kunikabili haswa baada ya rafiki zangu wa karibu tulio cheza wote utotoni kuamua kuachana na ukapela,hii imenishtua nakunifanya kuanza kupanga mikakati na mitego mbalimbali ili na mimi nikitoka south africa2010 kwenye zile fainali niweze kujimuvuzishia, wadau nitaitaji michango yenu musinitose