Thursday, January 24, 2008

Joseph Rweyemamu ajipatia mke(mshomile)



changamoto zimeanza kunikabili haswa baada ya rafiki zangu wa karibu tulio cheza wote utotoni kuamua kuachana na ukapela,hii imenishtua nakunifanya kuanza kupanga mikakati na mitego mbalimbali ili na mimi nikitoka south africa2010 kwenye zile fainali niweze kujimuvuzishia, wadau nitaitaji michango yenu musinitose

5 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Kumbe wewe bado?

Egidio Ndabagoye said...
This comment has been removed by the author.
Yasinta Ngonyani said...

asante kwa kunitembelea

Anonymous said...

Thanks for writing this.

Anonymous said...

HEEE 2010 MBALI KOTE HUKO??