Wednesday, May 30, 2007

nikiwa mo town ,muji kasoro bahari


najuwa ni wengi hatukupata muda wa kuagana lakini nduguzangu napenda mujue kwamba kwa sasa nimepata makazi ya kudumu morogoro, kwa muliopo morogoro tutaftane.

1 comment:

Egidio Ndabagoye said...

Dah! si utani mkuu.Ulipotea sana tangu kwa chambo husikiki kamanda.Vipi hapo mji kasoro bahari wanalonga vije?

Nashukuru sana tupatie nyingi za hapo mkuu.Chriss wapi? mwisho wa mwezi huu!