Friday, June 01, 2007

patakuwa hapatoshi


yamebaki masaa machache vijana wa JK11 watakapopambana na simba wa teranga, tuungane pamoja kuishangilia na kuiombea timu yetu iweze kushinda mpambano wa kesho, Mungu Ibariki Tanzania ,MUngu ibariki Timu yetu ya Taifa.

No comments: