Thursday, July 05, 2007

TEMBO WA NGORONGORO

Tanzania tumejaliwa vivutio vingi vya asili lakini bado atujafaidi matunda yatokanayo na mazao haya ya asili.

3 comments:

Simon Kitururu said...

Chakusikitisha ni kwamba.Mbuga artificial zinaendelea kutengenezwa , hasa Marekani.Itafikia siku kutakuwa hakuna haja yakuja Afrika kuona wanyama wa Afrika.Kwa sababu siku hizi badala ya Zoo, wameanza kujenga Mbuga kabisaaa.Cheki hapa kwa mfano:
www.buschgardens.com

chemshabongo said...

KITURURU SASA HAPO NDIO MWISHO WETU AMBAO SECTA YA UTALII NO MOJA YA SECTA NYETI KATIKA KUENDESHA TAIFA LETU YAANI YENYE MCHANGO MKUBWA KWENYE PATO LA TAIFA. NA JINSI NILIVYO ONA MTANDAO WAO http://www.buschgardens.com/ INAONYESHA JINSI WALIVYOMAKINI NA KUTANGAZA UTALII WAO, KWELI HAPA KAZI IPO TURUDI KUSHIKA JEMBE SASA!

Simon Kitururu said...

Kazi tunayo!Lakini bado tukitumia akili, tunauwezo wakusababisha reputation za hizi mbuga feki Marekani na Ulaya zikaonekana hivyo, FEKI.Tatizo ni umakini wetu wa kujitangaza na wa uendeshaji wa sekta ya Utalii bila kubabaisha.