Friday, September 07, 2007

Bithaa kutoka China





jamani kuna tetesi kuwa baadhi ya bithaa kutoka china zipo sokono kwa behi rahisi lakini inasemekana zina madhara kwa afya ya binadamu kitururu kaliongelea hili, Wito wangu kwa watanzania tushtuke kabla majanga haya ya kutengenezwa na wenzetu hayajatukuta

3 comments:

Honest Peter said...

duu kaka iyo ni kali.kweli inaitaji uangalifu,lkn kwa macho hatuwezi.je TBS wako wapi?

chemshabongo said...

nazani njia za panya nyingi tbs wanashindwa kuzibiti hili
sio siri bidhaa mbovu bongo zimezidi na zinakera na nyingi ni kutoka mataifa haya ya ulaya china wakiwa kiongozi.
TBS waamke sasa sielewi wanafanya kazi gani

Anonymous said...

China wameharibu world market.

Mama M