Siku mtu na mkewe walikuwa wanabishana ni nani muoga
kuliko mwenziwe,mume anasema mke muoga na mke anasema
mume muoga ndipo walipoamua kuwauliza watoto wao
Baba =Naomba kuwauliza ni na nani kati ya mimi na mama yenu mwoga zaidi
Mtoto 1=mama mwoga sababu anaogopa hata kutoka nje usiku wakati baba akiwa amesafiri
Mtoto 2=Baba ndio muoga zaidi maana anaogopa kulala peke yake mama kama siku akiondoka anamuita Msichana wakazi analala nae.
1 comment:
Hapo nakubali baba ni mwoga zaidi.
Post a Comment