Wednesday, November 07, 2007

Binadamu sasa tunatia kichefchefu

Real disgusting news happened in Palpa , Nepal yesterday evening.
Mother wants to eat meat and she cut her own child.
Unfortunately she was caught before she cooked the child.

habari hii inasikitisha na inaogopesha nitaiondoa hapa baada ya muda


6 comments:

Simon Kitururu said...

DUH!:-(

Mija Shija Sayi said...

Hii hatari.

Christian Bwaya said...

Balaa. Jambo la kujiuliza ni kwamba inakuwaje binadamu aweze kuwa na maamuzi mazito kiasi cha kufikia hapa? Tatizo liko wapi, mpaka ifikie mama aamue kumkaanga mwanae? Naomba mwenye mawazo atushirikishe.

Unknown said...

astaghafilulahi!!! binadamu sasa tushaanza kurudi enzi zileee dunia ilivyokuwa inaanza haya mambo hata hapa tanzania yapo jamani, wale wanaotafuta viungo vya maalbino roho zao si ndio kama hicho kitendo kilichofanywa na huyo mzazi?
mungu atunusuru jamani

Anonymous said...

Oh God!! Hivi huyu mama nafikiri ana ugonjwa wa akili. Hayuko sawa hata kidogo.

Mama Malaika

hekaheka said...

hiyo picha inatuhuzunisha sana, kwani ni ukatili wa ajabu aliofanyiwa huyo mtoto, binadamu sasa tumekuwa kama wanyama duh balaa

Emmanuel