Thursday, July 26, 2007

hatari! hatari!hatariiiiiiii!1


wapi hapa jamani!! hapa ni hatari kuliko pale kwa bwana egidio ina kuwajehapo jamaa akiparamia nguzo hilo?

3 comments:

Simon Kitururu said...

Niliona kwa Michuzi picha kamahii . Nasikia tena ni barabara mpya Dar lakini Mstimu wa umeme uko katikati ya barabara

Egidio Ndabagoye said...

Daah! hii kali

Honest Peter said...

mkubwa hapo ndio penyewe ingawa haujawa wazi