Thursday, July 19, 2007

simu za mkononi na masharti yake

wanasema tutumie sikio la kushoto kusikilizia simu za mkononi, wakimaanisha kuna madhara ya kutumia sikio la kulia kwa matumizi hayo, bado haijaniingia akilini, naomba kufaamishwa,
nawasilisha

3 comments:

Simon Kitururu said...

Mzee , nimekutag.
Tujulishe vitu nane tusivyojua kuhusu wewe.

Egidio Ndabagoye said...

Dah! sijui hapo wana sababu gani ya kisayansi.Nilikimbia somo la Biology.

Simon Kitururu said...

Hili jambo nimelisikia sana, lakini wanasayansi tofauti husema tofauti kuhusu jambo hili.