Saturday, January 24, 2009

UMEME UMEKATIKA

SINA BUDI KUFUNGA VIRAGO VYANGU NAKUONDOKA KATIKA KITI CHANGU BAADA YA UMEME KUKATIKA NA SASA NATUMIA CHARGE KIDOGO ILIYOBAKI KUWAAGA.

LAKINI NINANI WA KULAUMIWA?
KUKATIKAKATIKA KWAUMEME LIMEKUWA NIJAMBO LISILO LA AJABU SASA SIJUI NI KWETU TU MOROGORO AU NA MIKOA MINGINE MNAPATWA NA HADHIA HII.
UMEME UNAKATWA KILA DAKIKA NA HAKUNAMAELEZO WANAYOTOA ILI NASISI WATUMIAJI TUWETUNAJUA NI MIDAGANI TUNAWEZA FANYA NINI! NI HASARA NYINGI TUNAZIPATA LAKINI HATUJUI NINANI TUMPELEKEE MALALAMIKO YETU NASERIKALI IMEKAA KIMYA KWAHILI!

ALARM ZIMEZIDI KWAHERINI JAMANI!

3 comments:

Christian Bwaya said...

Kaka pole na matatizo haya ambayo watanzania wengi tumeshayazoea. Yamekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Kabla hujapanga kufanya chochote, assumption ya kwanza ni "je, umeme utakuwepo?" Inasikitisha kwamba miaka karibu hamsini ya uhuru bado tunaimba wimbo ule ule wa matatizo ya umeme.

Nisiseme sana, nilifika nyumbnai kwako kukusalimu tu. Maoni zaidi siku nyingine. Ni siku nyingi naona unajifungia kwako tuuuu...hutembei tembei. Kwa nini?

Kutembeleana ndio utaratibu wetu, au sio?

chemshabongo said...

mkuu nashukuru kwakunitembelea. nduyangu mambo yamenitight kinoma nashindwa hata kupata muda wakujtembelea majirani siunajua tena majukumu ya hapa na pale! vipiu lakini kitabu chaendaje mkuu naonamambo sio mabaya. nina tatizo sijui kama ushawahi kukutana nalo, nashindwa ku sign in kwa blog yangu inakubali tu ninapo tuma comment na si vinginevyo kwa kifupi nikama nimefungiwa kwa ndani na ufunguo sina na kuvunja mlango ndo hivyo sina uwezo zaidi ya kupitia madirishani kama hivi/.

wakati mzuri bro!

Simon Kitururu said...

Pole Mkuu!Bado tatizo lako halijanitokea bado !:-(Poleni kwa matatizo ya UMEME!